Login
 
About Rock City Mall

News and Events

CURRENT EVENTS

COMING SOON EVENTS

PAST EVENTS

Pasaka ndani ya RockCity Mall
26/03/2016
Sheherekea pasaka nadani ya Rock City Mall pamoja na kupata burudani ya nguvu hii sio ya kukosa,fanya shopping yako ya mahitaji ya pasaka ndani ya RockCity Mall.
info@rockcitymall.com
Burudani ya pasaka
27/03/2016
Burudani ya pasaka ndani ya Rock City Mall mwanza siku ya jumapili ya pasaka tar 27/03/2016 kuanzia saa 8 mchana,wasanii watakao washa moto ni JOH MAKINI na G NAKO kutoka kundi la WEUSI na Mrembo wa miss Tanzania 2006 WEMA SEPETU a.k.a WEMA SEPENGA.Karibuni kwa burudani ya nguvu pamoja na kufanya shopping yako ya msimu wa pasaka katika shopping mall ya kisasa kabisa ndani ya mwanza City. Pia wafanyabiashara wanaotaka kupanga ofisi wanakaribishwa kwani nafasi za kupanga bado zipo ndani ya Rock city Mall wasiliana na Propertywiseltd kwa email info@propertywiseltd.com au mobile:0654 171717

Rockcity Mall
P.O. Box ,
Mwanza-Tanzania
Tel:
info@rockcitymall.com
website:www.rockcitymall.com